Acts 5:12

12 aMitume wakafanya ishara nyingi na miujiza miongoni mwa watu. Walioamini wote walikuwa wakikusanyika katika ukumbi wa Sulemani.
Copyright information for SwhKC